sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya
Wanachotakiwa kufanya wasinywe Dawa za kuongeza nguvu
Damu gani inaingia mahali isitoke? Biology hiyo sikuisoma.
sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya
al habib umeolewa wewe?
ngoja nikazijalibu nione kama nitakufa
iyo midawa yote yanini? mbona mimi napiga mashine mpaka warembo wanakimbia na hivi sasa natafuta dawa za kupunguza nguvu za kivulana maana ni hatari