Namba mwisho 45 mkuuu...labda uchongeshe nayo sio 46 Bali extended 45Mimi navaa 46
Mkuu hadi huku umeleta siasa! Bavicha mnateseka sanaPale Magu anapovaa kiatu cha uraisView attachment 1618775
Hakuna changamoto naipata kama hii ya kupata kiatu kizuri namba 45Kuna maumbile ukijikuta unayo unabaki na option moja tu, kupambana uwe tajiri. Kwasababu kiatu size 45 tu kukipata ni changamoto je 45.5 si ndo inabidi uagize kiwandani! Utaweza kweli ukiwa survivor tu kitaa?
Mbona vipo boss mm navaa 45 Ila mara nyingi naagizia au natafuta 46 viatu vingi vinavyotoka China vinaishia 45 Ila ukitafuta mitumba ya ulaya utapata Hadi 47 vizuriKuna maumbile ukijikuta unayo unabaki na option moja tu, kupambana uwe tajiri. Kwasababu kiatu size 45 tu kukipata ni changamoto je 45.5 si ndo inabidi uagize kiwandani! Utaweza kweli ukiwa survivor tu kitaa?
Dukani vipo boss au agizia alliexpress bei powa Tu nami nilikuwa naangaika ivyoivyo Ila saivi nanunua dukani na Viki bomba sanaHakuna changamoto naipata kama hii ya kupata kiatu kizuri namba 45
Nyie wenye miguu ya kike ndo mnafikiri 45 ndo ya mwishoNamba mwisho 45 mkuuu...labda uchongeshe nayo sio 46 Bali extended 45
Mguu wa kike kabisa huu38 sina changamoto yoyote nayopata mana vitele vya kila design
45 madukani vipoKuna maumbile ukijikuta unayo unabaki na option moja tu, kupambana uwe tajiri. Kwasababu kiatu size 45 tu kukipata ni changamoto je 45.5 si ndo inabidi uagize kiwandani! Utaweza kweli ukiwa survivor tu kitaa?
Binafsi migu yote ni sawa, namba 42 inatulia pasi shakaNina viatu nikivaa mguu mmoja unabana kidoleni wakati kingine kinakaa poa
Kweli mkuuMbona vipo boss mm navaa 45 Ila mara nyingi naagizia au natafuta 46 viatu vingi vinavyotoka China vinaishia 45 Ila ukitafuta mitumba ya ulaya utapata Hadi 47 vizuri