Unavaa size gani ya kiatu?

Kuna maumbile ukijikuta unayo unabaki na option moja tu, kupambana uwe tajiri. Kwasababu kiatu size 45 tu kukipata ni changamoto je 45.5 si ndo inabidi uagize kiwandani! Utaweza kweli ukiwa survivor tu kitaa?
 
Mbona vipo boss mm navaa 45 Ila mara nyingi naagizia au natafuta 46 viatu vingi vinavyotoka China vinaishia 45 Ila ukitafuta mitumba ya ulaya utapata Hadi 47 vizuri
 
Kweli mkuu
Kariakoo vipo vingi tu
Mi mwenyewe ndau wa namba 45
 
Size 44 ila mguu wa kulia ni mrefu kidogo ukilinganisha na wa kushoto by 5-8 mm .Sasa ukivaa kiatu kipya huwa kinabana mguu mmoja baadae kinakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom