dah hapo ni kuchukia hesabu tena jumapil ikifika sa3 usiku nakumbuka hata uniform cjafua
Hahahaha BOFA usipokuwa nayo kwenye mtihani wa four four plus FOUR FIGURE ulikuwa hata huruhusiwi kusogelea chumba cha mtihani.Hivi bado wanafunzi wa kileo wanatumia four figure ama ndiyo zilishapotea wanatumia mambo ya kidigitali zaidi