Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,018
- 142,862
Tofauti ipo aisee
Huwezi fananisha harufu ya hizo na Jamaa hata kama zote ni sabuni
Kuna Mzungu alikuja ''summer trip'' shuleni tukiwa O-level akatugawia sabuni ya Dove for men na ya Nivea ya shower gel moja moja kwenye chupa kama hiyo.
Ile Dove sijawahi kuonaga tena bongo hata kwenye S'market mpaka leo na ukiogea ina harufu nzuri sana na hata usipojipaka mafuta inakung'arisha kama vile umejipaka, na Nivea naonaga tu body lotion na face wash.
Sawa mkuuAh wapi!
Mbona ni sabuni ya kawaida tu.
Naona hicho kichupa kinawazuzua eeh?
Chukulia kama soda iliyopo kwenye chupa na iliyopo kwenye kopo. Hazinaga tofauti...
Umeanza wewe lakini[emoji3][emoji3]Hahaha, usianze kunikosea adabu we mtoto
Kwahiyo unamaliza weweUmeanza wewe lakini[emoji3][emoji3]
Ile iko poa na harufu yake.protex herbal ya kijani hivi aiseee
Kwahiyo unamaliza wewe
Haifai wanawake papuchi itaua bakteria
Mpaka sasa JAMAA haina mpinzani. Ni sabuni ya WANYONGE wengi humu JFJamaa.
Hayo madude nakumbuka boarding moja inakuchukua karibu miezi minne kuisha.Wazee wa bao la mkono, mnaikumbuka hii
View attachment 1263153