Situmii kondom
Ndom za nini tupa kule kuharibiana starehe tu
mara mafuta mengi, mara nyingine kavu unakuwa kama unatumia kamfuko ka sh 50
mara ndom nyingine vimini aaaahhh....
nasikia eti ni dhambi kutumia kondomu halafu zimeletwa na wazungu ili kuuwa vizazi
Naam, kutumia kondom ni dhambi, kwa imani yangu tendo la ndoa ni sakramenti, takatifu hivyo lafaa kufanywa heshima zote stahili!
Hahhhhhaa zinakera hata mi ni mfuasi wa nyama nyama kwani tutafikisha miaka miaa bwana!!
hata mimi situmii , sinanishushia kiwango changu cha uchezaji......
hahahaha bila hiyo kiwango cha uchezaj kinakuwaje