Unatoa haja kubwa ya aina gani ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unatoa haja kubwa ya aina gani ?

Discussion in 'JF Doctor' started by uporoto01, Mar 28, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi wangapi baada ya kujisaidia haja kubwa huwa na mazoea ya kuangalia mzigo uliotoka ? Kwa afya yako uwe na mazoea ya kuangalia mavi yaliyotoka ili ujue afya yako ya mfumo wa usagaji/tumbo na kwa ujumla afya yako.

  Haja kubwa haitakiwi kuwa ngumu au laini sana.Kwa tumbo linalofanya kazi vizuri na mtu alaye chakula mchanganyiko pamoja na matunda/mboga mboga na pia kunywa maji ya kutosha haja kubwa inatakiwa kutoka herufi S (nzuri sana), au herufi C (kawaida), herufi I (mbaya).

  Ukiwa unapata haja kubwa ngumu sana mpaka jasho lakotuka ukisukuma inamaana hunywi maji yakutosha au hauli matunda/mboga mboga-fiber.Uwe pia na mazoea angalau mara moja kwa mwaka unapima choo ili kujuwa kama una minyoo au matatizo yoyote mengine kuhusiana na tumbo.

  Maelezo haya nimeyapata kwa doctor Oz wa Oprah show fame.
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  mweeh jamani itabidi nijenge kachemba kadogo, ili niwe nacheki kwa afya yangu.mmmh.
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  kama unaharisha, je ni herufi ipi inatakiwa?
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Herufi O kama utkuwa umetulia lakini kama utakuwa unahamahama basi utachora namba nane
   
 5. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hahaha jamani hili jukwaa lina mambo. Lol.
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  :lol::lol:

  kimpumu kopo ngapi umetwanga leo uporoto?
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  dah! Mimi itabidi nianze kunyea poti maana hiki choo cha shimo nitashindwa.
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukisoma maelezo kuharisha sio kawaida.

  Hamia kwangu kuna choo cha kidhungu.
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ah ah ah ah ah aha ahha hah:lol::lol::lol::lol:
   
 10. dracula

  dracula Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 4, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nikiona mavi ya kijani najua nina malaria .. tuko kama wawili kwenye familia yetu na dalili hizo wala hatuulizi maana hatuumwi mara kwa mara
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  JF ni dawa ya presha
   
 12. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hizi herufi utazionaje kwenye choo cha kukaa!!!!

  Mi naona siku nyingine ngoma zinazama na siku nyingine zinaelea

  Any scientific reasons ?!!
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe kamanda tahazari na ule mtandao. hii mada ya kuchambua vinyesi inaweza ikakutempt utake kuwa ekspati zaidi wa vinyesi. hapa greti thinka nimethink beyond greti thinking capacity
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwenye choo cha kukaa si unainuka kidogo kabla ya kuflash ?

  Hahaha! siku moja moja kubadili mtandao muhimu mkuu lol! Nimesoma thread nyingi hapa watu kutopata choo/kupata choo kigumu/kuharisha,baada ya kumsikia huyu daktari nikaona sio vibaya nikawajulisha maelezo yake.
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Dah... Uporoto naona unaadvocate kwa S and C...

  sasa wanaopenda x na y inakuaje?
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sisi tunaotumia vyoo vya shimo tutakaguaje mzigo?
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mkuu itabidi mzigo uutuwe transit kwa special airport check kabla kufika destination. dah! yaani hii sredi hizi mida za launch ndio imepata mahubiri mengi. kweli wabongo launch tunakula jioni.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hiyo transit itakuwa vipi? usafi je ? na maji yenyewe ya kununua kwene madumu ?
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  itabidi utumie gloves mkuu, adhawaizi itabidi udrop somo la mzee uporoto.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kaka somo gumu sana hili..tena lina udhungu mwingi..sisi kwetu nyumba za kupanga uswazi tumefeli wote.
   
Loading...