Unatoa haja kubwa ya aina gani ?

wanawake wote wenye watoto wanajua, mtoto lazima umuangalie kwa makini kinyesi chake.
huwa tunakisubiri kwa hamu sana kukiangalia kusaidia kurule out au kuthibitisha kuwa kuna tatizo. mara nyingine unaweza kumpeleka mtoto tu hospitali kwa sababu hujakielewa choo chake,
wengine huwakataza wafanyakazi kukitupa kabla hawajakiona hasa wakati unahisi mtoto anaumwa.
mie leo wanangu wakitaka kuniambia wanaumwa lazima wainclude katika maelezo yao mara ya mwisho kupoti, na ilikuwa aina gani. Na huyo mkubwa anajua tu kama anajisikia uchovu, hajapata bado, inabidi apate maji mwenyewe kwa wingi. Hata dawa (japo ni mpenzi) hataki mpaka maji yashindwe kazi.
 
Mbali na kutufundisha ungelainisha lugha hiyo mkuu iwe ''choo ama kinyesi''.
 
wanawake wote wenye watoto wanajua, mtoto lazima umuangalie kwa makini kinyesi chake.
huwa tunakisubiri kwa hamu sana kukiangalia kusaidia kurule out au kuthibitisha kuwa kuna tatizo. mara nyingine unaweza kumpeleka mtoto tu hospitali kwa sababu hujakielewa choo chake,
wengine huwakataza wafanyakazi kukitupa kabla hawajakiona hasa wakati unahisi mtoto anaumwa.
mie leo wanangu wakitaka kuniambia wanaumwa lazima wainclude katika maelezo yao mara ya mwisho kupoti, na ilikuwa aina gani. Na huyo mkubwa anajua tu kama anajisikia uchovu, hajapata bado, inabidi apate maji mwenyewe kwa wingi. Hata dawa (japo ni mpenzi) hataki mpaka maji yashindwe kazi.
Haika asante kwa maelezo yako ya ziada.
 
kwa wanywaji chang'aa blank hapo sasa ni sis wa choo cha shimo inakuwa noma hasa mitaa ya manzese niangalie saa ngapi wakati foleni ya toilet asubuhi inabidi timing,
But thanks mkuu nitachekck nikizuka kwa office pia wale ambao wanatoa nuclear smell inakuwaje maaanna akitoka inabidi usubiri vinginevo u will die
Conquest-jf big up:help:
 
Hizi herufi utazionaje kwenye choo cha kukaa!!!!

Mi naona siku nyingine ngoma zinazama na siku nyingine zinaelea

Any scientific reasons ?!!
nilivyo elewa hapa ni ukituwa mzigo some tymz unashuka 1 kwa 1 au unaelea, nini sababu Uporoto?

vp watu wa kujixpress? nasikia gogo lao halina ncha!
 
Asante Mods kwa kurekebisha Title kuna watu walikwazika na sikujuwa namna ya kuibadili.
 
Asante Mods kwa kurekebisha Title kuna watu walikwazika na sikujuwa namna ya kuibadili.

khaa! Kumbe mods ndio wamebadilisha.
Sasa wanakwazika na nini.
Halafu hivi ma*ta*ko ni matusi? Mbona huwa wanaekaga vinyota nyota.
Huwa najiuliza sana.
 
baada ya kuchuma dawa ka mara3,sijaona helufi hata moja kati ya ulizozitaja.ilikua kama chapati.je tayari naumwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom