goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
The island movie....
Daah kweli mkuu yaani pale alipoenda kuomba kazi kwa ile taasisi ya kutafutia watu Ajira hadi inatia hurumaHii weka mbali na watt,inaanza kizembe sana mpaka yule binti anapotoroka na kuomba msaada wa hifadhi halfu muhuni anakauja kukataa mapesa kibaao ili awaachie ...aah ni ushanta mtupu
Mie nimemaliza Godfather 1,2&3
Hizi ni movei bora duniani








Hunter game au hunger game?Nitapata wapi movie inaitwa "the hunter game?"
Tuwekee link mkuuleo nimefunga mwaka kwa kutazama the foreigner ya Jack Chain..daah inahuzunisha.
Ila kwangu mimi, Dead men tell's no tale km kazingua aisee.Hahaha mkuu unamcheki Captain Jack Sparrow
Umenihamasisha ngoja niirudie
Wakuu habari ya mapumziko ya sikukuu,natumaini mlio wengi kama mimi tuko nyumbani kwa mapumziko. Pamoja na shughuli za hapa na pale mimi natuliza akili kwa kuitazama movie ya Acts of Vengeance imechezwa na mkongwe Antonio Bandares. Kwenye movie hii analipiza kisasi kwa watu waliowaua mke na binti take.
Je we we unaangalia au ukipata muda unatarajia kuangalia movie gani.
Karibuni.
Mkuu hiyo ni wolf warrior 2 naikubali sanaaisee leo nimeangalia wolf warrior ,yani humo hakuna story ni action tu na vita waasi vs wachina + wanajeshi wa nchi
wame act kwenye nchi ya kiafrika iliyojaribu kufanya mapinduzi ya serikali ,kiswahili kama kawaida humo
kwa upande mwengine imenigusa sana