Hd mkuu ?Pirates of the Caribbean Dead Men Tell No Tales.
Ngoja niitafute mkuuaisee leo nimeangalia wolf warrior ,yani humo hakuna story ni action tu na vita waasi vs wachina + wanajeshi wa nchi
wame act kwenye nchi ya kiafrika iliyojaribu kufanya mapinduzi ya serikali ,kiswahili kama kawaida humo
kwa upande mwengine imenigusa sana
itafute mkuu hautajuta wala kuifuta kwenye computer yakoNgoja niitafute mkuu
Eeeeh yenyewe kabisa mkuu na format ni MKVHd mkuu ?
Aise safi mkuuEeeeh yenyewe kabisa mkuu na format ni MKV
Hatari sana, natamani zisiishe watoe hata series yan..Aise safi mkuu
ila inapendeza zaidi ukiwa na baby pembeni mnakula popcorn huku mnaangalia hahah