Asante Chief nitaifanyia kazi.Mkuu pia muangalie mkali Zoe Saldana pia kwenye kitu cha Vantage Point.
Dadek hii movie naikubali kinoma bora wangekuwa wanatoa season ingekuwa poaPirates of the Caribbean Dead Men Tell No Tales.
Weka picha unamwangaliaje sasa[emoji135][emoji135]Umeme hakuna ....namwangalia mke wang tu hapa
Hyo jamaa ni favourite actor wa mzee mmoja hivi mpelelezi mstaafu. Alimtizama jinsi alivyokagua ile selo na recommendation alizoweka alimkubali sana.Halafu kuna yule mtaalamu wa FBI mweusi utamkuta tena anafanya vitu vyake kwenye Taken 3 yaani hadi raha.
Jamaa yuko vizuri na pale alionyesha uwezo mkubwa sana, hata kwenye Taken 3 alifanya hivyo na kwenye Vantage Point alikuwa mpiga picha na kamera yake ndio ilisaidia kuwabaini wadunguaji. Nimeona pia amecheza kama IDD Amin kwenye last king of Scotland ngoja niitafute.Hyo jamaa ni favourite actor wa mzee mmoja hivi mpelelezi mstaafu. Alimtizama jinsi alivyokagua ile selo na recommendation alizoweka alimkubali sana.