Unatamani kuwaona akina nani humu?

katika huu muktadha ngoja tumuulize kama a perfect square ina degree ngapi? Akiweza kujibu basi tunajua huyu anaweza ku quantify hii rushwa pia maana ninavomjua ni mtaalamu wa uchakachuaji:becky:

hahaha hapo unaweza ukashindwa kujua jibu sahihi! manake wataalamu wanaweza kuja na theories tukatafutana humu ndani :becky:
 
katika huu muktadha ngoja tumuulize kama a perfect square ina degree ngapi? Akiweza kujibu basi tunajua huyu anaweza ku quantify hii rushwa pia maana ninavomjua ni mtaalamu wa uchakachuaji:becky:

Yakhe hilo neno litakukoma :becky::becky:
 
Kaizer tusidanganyike na uzuri wa chupa, uzuri wa chupa umaanisha kwamba kimiminika ni cha ukweli
Hahahahaha! Kamanda hebu soma na hii:

Usidanganyike na rangi ya chai, UTAMU wa chai ni sukari sio rangi yake

Kaizer@jamiiforums.com

Huyu ndie Kaizer, hommie wangu, zaidi ya umjuavyo wewe! Sasa panga venue ya kuuziana sura sasa!
 
Ngoja nijaribu kum PM nione atanipa mchakato gani
 
Finest usijeniogopa, afu ukaenda na wallet yako toilet.
Mi nilishastaafu ujambazi :welcome:.
 
Maji tu Aspirin, sitaki upate gharama lol!
Sura yako tu nahisi ntashiba!
Unatumia kinywaji gani dada? Hick! hick! hick! Hebu ni PM tutafutane kwa msaada wa watu wa Marekani. Mi pia nakutamani sana kukuona!
 
Orait Orait Lady,,,,me tooo.....biggie hapo juu naona ameshap do ze nidiful sasa ni mambo ya logistik department ya Fidel80 hiyo.....

hahaha mpwa bana hapo kujiexpress mwanzo mwisho watu wanafungulia kesho kutwa mwendo mdundo....
 
Unatumia kinywaji gani dada? Hick! hick! hick! Hebu ni PM tutafutane kwa msaada wa watu wa Marekani. Mi pia nakutamani sana kukuona!

Asprin ulimaanisha hili hili neno au ni jingine :becky::becky::becky::becky:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom