Unatamani kuwaona akina nani humu?

Konakali, Mkeshahoi, Asprin, Nyani Ngabu, FL1, Acid, Fidel, roseyline1, klorokwini, gaijin, Next Level, Kaka Jmabazi, Tusker Baridi, Bacha, Baba Enock, Msanii, Kaizer, Silent Whisper, Kibweka, Funza Dume, Askofu, Mfunyukuzi, Zion Daughter, Caroline Danzi, Kanyafu Nkanwa, genekai, and the list is endless
Zion Daughter is INVIZIBO
 
The Finest iko siku god akijaalia tutaonana sawa ee ..
 
I am here Gaijin, sasa what are the facts to de ze nidiful......

Asprin anatangaza rushwa hadharani bila ya kui quantify ..............inaleta mkanganyiko wa kimaslahi :confused2:
 
katika huu muktadha ngoja tumuulize kama a perfect square ina degree ngapi? Akiweza kujibu basi tunajua huyu anaweza ku quantify hii rushwa pia maana ninavomjua ni mtaalamu wa uchakachuaji:becky:
 
Nyie watu mnazungumza lugha gani humu? Lugha ya taifa na iheshimiwe na watu wote au siyo mwalimu gaijin? hahahaha! watu tunachakachua mpaka miandamo ya mwezi itakuwa ku-quantify?

Back to topic....niliwasahau Da-Sophy, boflo na Malaria Sugu kwenye list ya watu naotamani sana kuwaona! LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom