safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,169
- 15,851
hahahahahha sawa mkuu
Mimi ndo mrembo si ndio? Nianze kuringa sasa .
Wewe ndio mrembo mwenyewe..tamba kabisa. Tunapishana bhana harakati za Maisha zimekuwa nyingi..Mimi ndo mrembo si ndio? Nianze kuringa sasa .
Nipo mwaya tunapishana tu nikija mjini kwenu
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Toka uoe umekua adimu sana. Siku nikija itabidi twende kule baharini .Wewe ndio mrembo mwenyewe..tamba kabisa. Tunapishana bhana harakati za Maisha zimekuwa nyingi..
Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Wewe tu hunitafuti naona umepatikana sijui ni nani huyo mwamba . Hahaha kule bahari aisee kuna mambo..nilipenda ile vibe ya kule.Toka uoe umekua adimu sana. Siku nikija itabidi twende kule baharini .
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hahahaaaa. Nilipatikana bwana Sema nimejitoa nimeshindwa. Sema nikija huko muda unakua mchache sana yani nashindwa kuonana na watu. Ila beach tutaendaWewe tu hunitafuti naona umepatikana sijui ni nani huyo mwamba . Hahaha kule bahari aisee kuna mambo..nilipenda ile vibe ya kule.
Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Unashindwaje sasa..pambana bhana.Wewe sema ukija twende beachHahahaaaa. Nilipatikana bwana Sema nimejitoa nimeshindwa. Sema nikija huko muda unakua mchache sana yani nashindwa kuonana na watu. Ila beach tutaenda
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Dina acha mambo yako? Hata mimi?Hakuna
We si tayari hahahaDina acha mambo yako? Hata mimi?
Tayari tushakutana?! Tehe teh teh! Toto jinga sana wewe.We si tayari hahaha
Mi kupambana siwezagi bwana. Ningeachoka labda ningepambana pambana kurudisha penzi. Ya Beach imeshapita kipenzi. Mwezi wa 11 nakujaUnashindwaje sasa..pambana bhana.Wewe sema ukija twende beach
Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Wewe kichwa ngumu tatizo hahah..Basi sawaaMi kupambana siwezagi bwana. Ningeachoka labda ningepambana pambana kurudisha penzi. Ya Beach imeshapita kipenzi. Mwezi wa 11 nakuja
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app