Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,684
- 225,319
Wala hawezi kukwazika na wala haujamharibia chochoteSasa kwani kumtamani mtu ni nia mbaya, tamaa tumeumbiwa jamani, halafu inaonekana BUSH BIN LADEN amekwazika maana ameishia kujibu "Aisee", Yaani anaona kama nataka kumharibia kwa Anne wake anaempenda.
Sent using Jamii Forums mobile app