Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Wewe tu hunitafuti naona umepatikana sijui ni nani huyo mwamba . Hahaha kule bahari aisee kuna mambo..nilipenda ile vibe ya kule.

Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Hahahaaaa. Nilipatikana bwana Sema nimejitoa nimeshindwa. Sema nikija huko muda unakua mchache sana yani nashindwa kuonana na watu. Ila beach tutaenda

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom