Unataka Umteke mwanamke awe lofa kwako?

Unataka Umteke mwanamke awe lofa kwako?

Inategemea na mwanaume anaetoa ahadi, kama wa tia maji tia maji unawaza tu "why me Lord"[emoji134][emoji134]
 
Umemuona huyu, eti ile stori tuliyokuwa tunapiga kule kaja mbio kuianzishia uzi huku. Ni utoto unamsumbua au kiherehere?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kazi ndogo sana...Mwambie nitakuoaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Huwa wanawehuka kabisaa yani anaweza hata kujilipia Mahari ili umuoee..akakuhudumia kwa pesa zake kama anafanya kazi..hadi akili zimrudie aisee umemvuna vya kutosha.
Hivi kina dada mkisikia neno ndoa why mnawehuka???

Hahah polee alishakuja mmoja na gia hiyo nitakuona saiv ananichungulaka kwa screen
 
Ndoa nataka lakin sio ya mtu uko naye kwenye uhusiano hata mwez ujaisha nakwambia nataka nikuoe serious??
Wee huna hamu na ndoa...!! akati wenzio wanatamani kuambiwa hivyoo
 
Umemjibu vizuri saana brother.

Hilo aliloongea mtoa mada liliwahi nikuta kwa binti mmoja. Alitamani agharamie kila kitu ili tuoane tu.

Lakini kumbuka wakati huo mimi nilikuwa sijawa na kazi. Akasema hilo kwake si tatizo. Sikupenda hata kidogo kuingia ndoani nikitegemea slope na kuitwa majina yasiyo na maana mbaya zaidi akataka tufunge ndoa ndani ya miezi 2!

Niliogopa sana, kwa niwajuavyo wanawake nisingekuwa na sauti nyumbani na kuwa kama mume bwege.

Siyo siri alichukia mno nilipokataa.
Factors ulizoongea ndizo zilizokuwa zinam-drive.
Na umri wake bado kabisa hata 30 alikuwa hajafika.

God bless her.
Ni kwa sababu ya mitazamo hasi ya jamii kwamba mwanamke aliyechelewa kuolewa au hajaolewa kabisa ana laana au mkosi kwahiyo kwa sababu wanawake hawapendi kuonekana hivyo wanazitafuta ndoa kwa nguvu zote nafikiri mila na desturi zetu ndo zimechangia kufanya mwanamke ndo ahitaji sana ndoa kuliko mwanaume

Wakati kiMungu ndoa ni muhimu kwa wote mwanaume na mwanamke wote inawapa heshima na wote inawasitiri kutofanya dhambi ya uzinzi hilo ndo lengo la ndoa ila wanaume hatujui hilo tunaona hatuhitaji ndoa maana wanawake wameshaamua kututunuku wenyewe kabla ya ndoa na wanaume waliooa nao wanaona kama vijana ambao hatujaoa huku nje tunafaidi sana kwanini tufaidi peke yetu wanaamua kujitafutia nyumba ndogo ambazo nazo zinahitaji kuolewa na kuwa nyumba kubwa
 
Back
Top Bottom