agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
😂We nae
😂We nae
Yaani uingie kwenye ndoa ya tanuli la moto kisa umri labla uwe Sio mzima kichwani.Ndoa ni heshima only that lkn sio kwasababu ya umri ndio tudanganyike
😂😂😂We nae
Umemuona huyu, eti ile stori tuliyokuwa tunapiga kule kaja mbio kuianzishia uzi huku. Ni utoto unamsumbua au kiherehere?[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Kumbe ni story nimeshangaa kauzi kana tumaneno tuwiliUmemuona huyu, eti ile stori tuliyokuwa tunapiga kule kaja mbio kuianzishia uzi huku. Ni utoto unamsumbua au kiherehere?
Itakuwa kimojawapo 😂😂😂 ila kanichekesha sana. Uzi umekaa kama alitype simu ikiwa na asilimia 1% ya charge inakaribia kuzimaUmemuona huyu, eti ile stori tuliyokuwa tunapiga kule kaja mbio kuianzishia uzi huku. Ni utoto unamsumbua au kiherehere?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni story nimeshangaa kauzi kana tumaneno tuwili
Wanawake ni Kiki humu Yaani haipiti saa bila kuona mada mpya.Yaani kaniacha hoi
Ha haaaa hakunagaHuyo mwambie ntakujozaaa mpaja ushangaee[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunichekesha, au ameazima simu ya mtu awekee uziItakuwa kimojawapo [emoji23][emoji23][emoji23] ila kanichekesha sana. Uzi umekaa kama alitype simu ikiwa na asilimia 1% ya charge inakaribia kuzima
Yani 😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunichekesha, au ameazima simu ya mtu awekee uzi
Hapo ulipo umeshasaidiwa kulipa mahari?Wotee ndo zao...[emoji23][emoji23][emoji119]
mpe hela ambazo mumewe hampiNa kwaalieolewa tayari?
safiLabda mwanamke asiyejitambua...binafsi sibabaishwa na ahadi ya ndoa.
Wanawake ni Kiki humu Yaani haipiti saa bila kuona mada mpya.
hahaaa nilihisi comment ya kule kaifanya uziItakuwa kimojawapo [emoji23][emoji23][emoji23] ila kanichekesha sana. Uzi umekaa kama alitype simu ikiwa na asilimia 1% ya charge inakaribia kuzima
Eeh kaifyatulia uzihahaaa nilihisi comment ya kule kaifanya uzi
Ndio uombe Mungu upate ndoa ya amanii sio ngumi kila sikuYaani uingie kwenye ndoa ya tanuli la moto kisa umri labla uwe Sio mzima kichwani.
HahahahaUmemuona huyu, eti ile stori tuliyokuwa tunapiga kule kaja mbio kuianzishia uzi huku. Ni utoto unamsumbua au kiherehere?
Acha uongo ile pesa uliyo nitumia sio yako??Dhubutu yako, mwanaume hali hata mia yangu.