Unataka kuwa mzuri na mweupe

Unataka kuwa mzuri na mweupe

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Mzigo umewasili, wahi sasa..
Pm kwa wahitaji
ImageUploadedByJamiiForums1448880781.781107.jpg
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1448880716.944428.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1448880716.944428.jpg
    54.9 KB · Views: 1,244
hii kali sasa. hawa viumbe wanapotea na rangi yao
 
You're were born an original don't die a copy
 
Oooh kifo, mbona watutesa, ooh kifo ni kipi kitatumaliza, ooh kifo wacha tujifiche wee...!!
 
Hapo ni kiama kwa wanaopenda ngozi ya wakoloni!
 
Sasa kuwa wa pink hivyo ndiyo sifa gani? Ningekutafutia soko la kimataifa kama ungelikuwa unawatakatisha, kuwaondolea ukurutu na makovu na kuwaweka kawenye mpangilia mzuri bila kuwaondolea rangi zao.

Kwa sasa hapa sijui unataka wateja wa daraja gani tu. Ninapata shida kama ukipata wateja hapa JF, ukipata naomba feedback ili tuthibitishe kwamba kweli sasa JF ilishaingiliwa na kuna great stinkers badala ya great thinkers.
 
Nini maana ya kuwa mwafrika? Nini maana ya black beuty? Jamani hivi wanapoelezea magonjwa ya ini na cancer nyinyi wauzaji mnakuwa wapi? If you are not jocking, am sorry to say that you are not different from the drug lords. Msiue watoto wa wenzenu bure.

Nikiichunguza picha ya kwanza ndani ya collar ya tshirt ni kama ngozi yake ni light inawezekana kapaka dawa ya viatu ili kuvuta soko. Mtajiju.
 
Nyooooo.......muone kwanza.......ulipotelea wapi wewe..... Boflo......?.......
 
Last edited by a moderator:
There is nothing called beauty with bleaching,mkiwa mnafanya biashara mjue mtaulizwa na Mungu huko mliwasaidia au mliwapoteza vipi wenzenu.
 
Ahaaa, Pretaaaaaa, long tymmmm,:mwaaah::mwaaah::mwaaah:

Sana wangu.......nimekumiss sana ujue..........ukaondoka na mwaJ kimoja..........
sio vizuri mjue.........
 
Last edited by a moderator:
Hata utumie mkorogo gani ka lisura lako libovu litabaki vile vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom