Unataka kuwa agent wa vinywaji vya Azam group?

Unataka kuwa agent wa vinywaji vya Azam group?

Status
Not open for further replies.
kuna structure ya namna hii,jumla1,jumla2,then rejareja
JUMLA1....ni wale wateja wanaoweza pata bidhaa toka kiwandani Direct..ie hata bei zao zinakuwa ni za mwanzo,AGENTS,DEALERS.
JUMLA2...Ni wale utakaowauzia,yaani maduka ya jumla mtaani
REJAREJA...Ni mlaji wa mwisho atakapoipata bidhaa mtaani

sasa unaangalia kwa mfano huo unajiweka katika kundi gani na hiyo structure unavyoweza hata kudominate soko ya hiyo bidhaa katika teritory yako,wahi sasa ntaendelea kuelimisha kwa namna yoyote ntakayoweza,lengo ni kusaidiana tu kufikia malengo....
Toa maelezo kama mfanyabiashara.
1. Mtu akitaka kuwa dealers sifa zake ni zipi? Na mtaji kiasi gani unaitajika?
2. Mtu akiitaji kuwa agent sifa zake ni zipi? Na mtaji kiasi gani unaitajika?
3. Na utuambie wewe ni nani, na uko departiment gani hapo azam? Mana matapeli ni wengi mjini
4. Je kwa ambao tuko dar ofisi zenu ziko wapi tukitaka kufika kwa maelezo zaidi?
Note:
Tupe maelezo ya kutosha mana wengine tuna ela na tunapenda kufanya hiyo biashara ila hatuna taarifa kamili za kutosha
 
Hellow wapendwa,
kama una mtaji wako mzuri wa kuanzia biashara za azam zote nikimaanisha maji,(buguruni),soda carbonated soft drinks(mwandege),juices (vingunguti),na vinginevyo,ushauri na kila kitu,pita hapa.

Nitakusaidia popote pale ulipo pande yoyote ya Tanzania,hata nje ya Tanzania.
Karibuni.
Mtaji mzuri ni wastani wa shilingi ngapi? Au una-range shilingi ngapi hadi ngapi?
 
Hellow wapendwa,
kama una mtaji wako mzuri wa kuanzia biashara za azam zote nikimaanisha maji,(buguruni),soda carbonated soft drinks(mwandege),juices (vingunguti),na vinginevyo,ushauri na kila kitu,pita hapa.

Nitakusaidia popote pale ulipo pande yoyote ya Tanzania,hata nje ya Tanzania.
Karibuni.

Mkuu niko mozambique nahitaji kua Argent wa hizo bidhaa.

Kwa kuanzia nina duka la vinywaji baridi.
Na mtaji wa milioni moja ya tz.

Kama ikiwezekana tuwasiliane kupitia namba hizi ±258840310204.
 
Mkuu niko mozambique nahitaji kua Argent wa hizo bidhaa.

Kwa kuanzia nina duka la vinywaji baridi.
Na mtaji wa milioni moja ya tz.

Kama ikiwezekana tuwasiliane kupitia namba hizi ±258840310204.
milinoni moja ntakusumbua mkuu,jaribu kupata bidhaa kwa local dealers walio karibu nawe...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom