Unataka kuwa agent wa vinywaji vya Azam group?

Status
Not open for further replies.

Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,637
2,747
Hellow wapendwa,
kama una mtaji wako mzuri wa kuanzia biashara za azam zote nikimaanisha maji,(buguruni),soda carbonated soft drinks(mwandege),juices (vingunguti),na vinginevyo,ushauri na kila kitu,pita hapa.

Nitakusaidia popote pale ulipo pande yoyote ya Tanzania,hata nje ya Tanzania.
Karibuni.
 
Mwana mtaji unahitajika kama shilingi ngapi?
 
Sasa tunakupataje labda, ungerahisisha kama ungeweka na mawasiliano yako. Halafu tujulishe wewe ni agent wa AZAM au ni muuzaji wa duka la jumla unataka mzigo utoke fasta.....fafanua please chuchu16
 
Sasa tunakupataje labda, ungerahisisha kama ungeweka na mawasiliano yako. Halafu tujulishe wewe ni agent wa AZAM au ni muuzaji wa duka la jumla unataka mzigo utoke fasta.....fafanua please chuchu16
kuna tofauti hapo,mimi si agent wala muuza duka,nataka nikufanye uwe AGENT,nivitu viwili tofauti
 
kuna structure ya namna hii,jumla1,jumla2,then rejareja
JUMLA1....ni wale wateja wanaoweza pata bidhaa toka kiwandani Direct..ie hata bei zao zinakuwa ni za mwanzo,AGENTS,DEALERS.
JUMLA2...Ni wale utakaowauzia,yaani maduka ya jumla mtaani
REJAREJA...Ni mlaji wa mwisho atakapoipata bidhaa mtaani

sasa unaangalia kwa mfano huo unajiweka katika kundi gani na hiyo structure unavyoweza hata kudominate soko ya hiyo bidhaa katika teritory yako,wahi sasa ntaendelea kuelimisha kwa namna yoyote ntakayoweza,lengo ni kusaidiana tu kufikia malengo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom