Unataka kumjua anayekuibia mumeo? Mbinu hizi zitakufaa!

hata kama ukifanya haya, kama ni kusalitiwa utasalitiwa tu!
cha muhimu ni uwe na mume mwaminifu na anayekupenda kwa dhati, na sio wa kumchunguza chunguza
 
Huyo mume mwaminifu utamjuaje? Au wanapatikana wapi?

AU una maana ya kuishi kwa matumaini na kuamini kuwa ulonaye ni mwaminifu?

hata kama ukifanya haya, kama ni kusalitiwa utasalitiwa tu!
cha muhimu ni uwe na mume mwaminifu na anayekupenda kwa dhati, na sio wa kumchunguza chunguza
 
Back
Top Bottom