Unataka kujua ukweli... haya huo hapo...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka kujua ukweli... haya huo hapo...!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, Oct 18, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  MUME: Mke wangu, niwe mkweli pamoja na kuwa kwa sasa tuna watoto sita mimi bado nakupenda sana. Na hakuna kitu kitakachoweza kunifanya niache kukupenda, I love you honey. Nina swali moja tu, huyu mtoto wa nne mbona yuko tofauti na hawa wenzie sita, mkorofi, hataki shule yaani tabu tupu? Mke wangu nambie tu kama ana baba tofauti na wenzie, kiukweli halitabadili mapenzi yangu kwako.
  MKE:(Huku akipiga magoti) Mume wangu najisikia vibaya naomba unisamehe ni kweli huyo mtoto baba yake ni tofauti na wenzie
  MUME: (Machozi yakimlengalenga) Dah mke wangu... baba yake ni nani?
  MKE: Baba yake ni wewe.
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  tihitihitihi jamaa huenda alizimia after hearing dat
   
 3. Nyiluka

  Nyiluka Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Inamana hao wengine ndo sio wake
   
 4. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huelewi nini sasa apo
   
 5. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Akimtimua,mama anaondoka na ma bright anamuachia ndondocha lake.
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kisukari hiki!
   
 7. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ennie umenchekesha kuliko hata mtoaji wa huu uzi,dah!
   
 8. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  umetisha !

  Near by Sae Mbeya.
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya sasa majaribu!
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Dah!
  Mamaaaa mbavu zangu mie!
   
 11. B

  BatteryLow JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  huyo mwanamke ni keboko aisee, halafu linajifanya nyenyekevu kwenye kujibu, inawezekana hata ukweni alikopelekwa jamaa sio ukweni kweli, na mm ninalo limoja lakini nimeshaogopa kumuuliza mama yao, manake nitaua mtu paa paaale pale!!
   
 12. V

  Vonkaboy Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo mimi siiwezi kwani kanidhulumu. Jembe umetisha
   
Loading...