Unataka kujua ukweli... haya huo hapo...!

Unataka kujua ukweli... haya huo hapo...!

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,804
MUME: Mke wangu, niwe mkweli pamoja na kuwa kwa sasa tuna watoto sita mimi bado nakupenda sana. Na hakuna kitu kitakachoweza kunifanya niache kukupenda, I love you honey. Nina swali moja tu, huyu mtoto wa nne mbona yuko tofauti na hawa wenzie sita, mkorofi, hataki shule yaani tabu tupu? Mke wangu nambie tu kama ana baba tofauti na wenzie, kiukweli halitabadili mapenzi yangu kwako.
MKE🙁Huku akipiga magoti) Mume wangu najisikia vibaya naomba unisamehe ni kweli huyo mtoto baba yake ni tofauti na wenzie
MUME: (Machozi yakimlengalenga) Dah mke wangu... baba yake ni nani?
MKE: Baba yake ni wewe.
 
huyo mwanamke ni keboko aisee, halafu linajifanya nyenyekevu kwenye kujibu, inawezekana hata ukweni alikopelekwa jamaa sio ukweni kweli, na mm ninalo limoja lakini nimeshaogopa kumuuliza mama yao, manake nitaua mtu paa paaale pale!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom