Unataka kuacha tabia fulani? Basi ifanye to the maximum

Unataka kuacha tabia fulani? Basi ifanye to the maximum

Punyeto ndio tabia pekee ya kuiacha??

Kuna uzinzi, ulevi, uvutaji sigara, kupiga chabo n.k

Nimekubali punyeto ina wadau wengi sana kila mtu punyeto punyeto basi tuongeze punyeto kwenye basic needs za kiumbe hai
Ina kundi kubwa na wewe ukiwemo
 
Hapana
Kanuni ni moja kuua kitu kama tabia ni lazima ubuni tabia nyingine kwa opposite direction ije iishinde hiyo unataka uache..
Simple ni ukitaka kuua urahibu mbaya tafauta urahibu mwingine mzuri hizo ni energy hauwezi ushinda urahibu mmoja bila kuanzisha mwingine ni kujichosha na hutofaulu
 
Back
Top Bottom