Unataka kuacha tabia fulani? Basi ifanye to the maximum

Mpaka hapa hakuna kitu nitakacho raibuka nacho,, au kuwa mraibu nacho wa kupitiliza, hapa labuda nijalibu na madawa ya kulevya, heroin, na cocein
 
Eti ukikaa wiki tatu bila kufanya kitu fulani unakuwa umekiacha. Huo ni upotoshaji wa kiwango cha Burj khalifa

The only key ya kuacha tabia usiyoipenda kwanza ni kuipenda hiyo tabia pili ni kuifanya to the maximum yaani kweli mpaka uone kwenye hicho kitu hakuna kipya trust me hapo unaenda kuacha hiyo tabia bila ya struggle yoyote.
Hii haiwezi kuapply katika tabia zote.

Nakubaliana na wewe kwamba tabia kadhaa ili uziache basi kuna ile stage lazima uifikie ya kuziona zq kawaida hizo tabia.

Ukishafikia stage hiyo maana yake hautakuwa intereated tena na jambo hilo kwani hakuna jipya lenye kukusisimua hata ukifanya maaana umeshalizoea sana.

Hapo sasa pana mambo mawili.

1.utaacha
2.utatafuta jambo la kukusisimua zaidi.
 
Eti ukikaa wiki tatu bila kufanya kitu fulani unakuwa umekiacha. Huo ni upotoshaji wa kiwango cha Burj Khalifa.

The only key ya kuacha tabia usiyoipenda kwanza ni kuipenda hiyo tabia pili ni kuifanya to the maximum yaani kweli mpaka uone kwenye hicho kitu hakuna kipya trust me hapo unaenda kuacha hiyo tabia bila ya struggle yoyote.

Mzee wa nyeto
 
Ngoja nianze tungi festival, nishapata mbinu ya kuacha bia.
 
Back
Top Bottom