Unataka kuacha tabia fulani? Basi ifanye to the maximum

Unataka kuacha tabia fulani? Basi ifanye to the maximum

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,104
Reaction score
14,029
Eti ukikaa wiki tatu bila kufanya kitu fulani unakuwa umekiacha. Huo ni upotoshaji wa kiwango cha Burj Khalifa.

The only key ya kuacha tabia usiyoipenda kwanza ni kuipenda hiyo tabia pili ni kuifanya to the maximum yaani kweli mpaka uone kwenye hicho kitu hakuna kipya trust me hapo unaenda kuacha hiyo tabia bila ya struggle yoyote.
 
Si useme tu punyeto.
Tabia fulani tabia fulani , tabia fulani tabi gani??
Punyeto ndio tabia pekee ya kuiacha??

Kuna uzinzi, ulevi, uvutaji sigara, kupiga chabo n.k

Nimekubali punyeto ina wadau wengi sana kila mtu punyeto punyeto basi tuongeze punyeto kwenye basic needs za kiumbe hai
 
Here we go
_20240118_000527.JPG
 
Haha! kazi ipo.. tena ipo sana ukitaka kuacha tabia fulani lazima uhakikishe umeamua kuiacha na usiitilie bayana kisha kuiua kabisa pata mbadala wake (kama ni ya kihisia zaidi), chengine kama umeegemezwa kuwa mtu wa kubalance hisia basi kuna uwezo mkubwa wa kumudu hicho kitu otherwise chapombe wa watu, mzinzi uliekubuhu na mwizi ulietaradadi kuacha mpk mpaka mpaka na mpaka!..🤣
 
Back
Top Bottom