Hizi akili zingine hizi tabu tupu
Hebu muulizeni huyu jamaa,ni nani anaetaka kubadili chochoje hapa?
Hahahahaaa! Eiyer hawa hawana hoja za kuargue hapo! Hata huyu niliemquote hapa chini hana hoja za kupinga!

ubavu wako
Mna discuss nini?Ndo nani huyo?
Kumbe ww unatukana mamba kabla hujavuka mto.....? kuna wengi waliongea kama ww unavyosema lakini mwisho wa yote baada ya kuingia kwenye ndoa wanaishia kulalamika tu kwa mabwana zao....mwanamke wa karne hii huwezi kumuendesha kama trekta bovu, labda kama unahitaji ndoa yenye misuguano.
..hakika nitakapoingia huko sitataka kuwa dikteta kama nilivyoona kwa baba yangu, the man decided everything, no opinion was accepted. Hata mama akijitahidi kushauri jamaa alipinga sana, ati "nimesema na sitaki mjadala" nilijisikia vibaya coz mum felt so inferior now and then.
in your next marriage???? are you devorced? or do you want to devorce your hubby?...come on, nijibu asap! lolI am tired of taking the leading role.
I want things to go the old way. I want a man who is the head of the family.
I want a man with authority. A man who is sober upstairs and knows what he is doing.
I cannot bask in the glory of marriage yet I make the wheels turn. Mimi ndo mama, mimi ndo baba mi ndo kila kitu. No way. I will be play the supporting role but never again the lead lady.
Kumbe ww unatukana mamba kabla hujavuka mto.....? kuna wengi waliongea kama ww unavyosema lakini mwisho wa yote baada ya kuingia kwenye ndoa wanaishia kulalamika tu kwa mabwana zao.
Nini kimekuchosha malkia?
in your next marriage???? are you devorced? or do you want to devorce your hubby?...come on, nijibu asap! lol
kama ana wazo bora nitalikubali na mie kama nna opinion bora aikubali
sio mambo ya bendera fuata upepo.
sisemi hakuna mwenye last say lakin yeye leo anaweza kuwa na last say
na mie kesho nikawa na last say isiwe one way
...mwanamke wa karne hii huwezi kumuendesha kama trekta bovu, labda kama unahitaji ndoa yenye misuguano.
..hakika nitakapoingia huko sitataka kuwa dikteta kama nilivyoona kwa baba yangu, the man decided everything, no opinion was accepted. Hata mama akijitahidi kushauri jamaa alipinga sana, ati "nimesema na sitaki mjadala" nilijisikia vibaya coz mum felt so inferior now and then.
Hujaelewa nini sasa?
Usibadili nyeusi kuwa nyekundu bana...Mwanamke ameumbwa kuwa chini ya Mwanaume...Ndio hivyo MUNGU alivyoumba...hakuan haja ya mjadala...WOMEN will always be under men...Full stop