ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,287
- 40,946
Unataka au hutaki? 🫣
Aliuliza hivi, Darling, itawezekana kweli huu siku upite hivi? 😉
Mi nikamwambia, Eeh, itawezekana Yes, wewe usijali, lala na utulie
Heh... gafla bin vuu, mkono wake nikausikia unapapasa kifua taratibu Nikamwambia, Hapana, nasikia kizunguzungu, nasikia kama homa hivi(sitaki nataka)
Akaamka taratibu, akachukua tauro, akaloweka kwenye maji, akaanza kunikanda kwenye paji la uso, akashuka mpaka kifuani, ananikanda taratibu😊
Kumbuka hapo tulikubaliana kua je inawezekana😆
Basi bhana, sijui hata ilikuaje
Kulikua na moment fulani hivi👌
Alikua ananukia perfume fulani, anadai ni mwaka wa kumi na tano hajabadilisha
Nikasema, Weee... inanukia balaa
Basi bhana... Bluetooth connected 💋
Bonge la moment, issue ikawa deep
Basi bhana, si nikashtuka
La haulaaa! Kumbe ni ndoto bhana, nilikua naota🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila ukiachana na hiyo ndoto yangu...
Hivi wewe ulishawahi kua na bebe, time ya jigijigi ukawa sitaki nataka, au yeye akawa sitaki nataka?
Vipi, jigijigi iliyokua na kamchezo sitaki nataka, unaona vibe lake lipo je?
Thank you JF tutakuna next time 🫂
ShesRise_1 🤚
NAKAZIAUKIMWI Unaua kweli wala hauchekeshi
🤣🤣🤣 nimecheka kwa nguvu sana bwasheeUKIMWI Unaua kweli wala hauchekeshi
Unataka au hutaki? 🫣
Aliuliza hivi, Darling, itawezekana kweli huu siku upite hivi? 😉
Mi nikamwambia, Eeh, itawezekana Yes, wewe usijali, lala na utulie
Heh... gafla bin vuu, mkono wake nikausikia unapapasa kifua taratibu Nikamwambia, Hapana, nasikia kizunguzungu, nasikia kama homa hivi(sitaki nataka)
Akaamka taratibu, akachukua tauro, akaloweka kwenye maji, akaanza kunikanda kwenye paji la uso, akashuka mpaka kifuani, ananikanda taratibu😊
Kumbuka hapo tulikubaliana kua je inawezekana😆
Basi bhana, sijui hata ilikuaje
Kulikua na moment fulani hivi👌
Alikua ananukia perfume fulani, anadai ni mwaka wa kumi na tano hajabadilisha
Nikasema, Weee... inanukia balaa
Basi bhana... Bluetooth connected 💋
Bonge la moment, issue ikawa deep
Basi bhana, si nikashtuka
La haulaaa! Kumbe ni ndoto bhana, nilikua naota🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila ukiachana na hiyo ndoto yangu...
Hivi wewe ulishawahi kua na bebe, time ya jigijigi ukawa sitaki nataka, au yeye akawa sitaki nataka?
Vipi, jigijigi iliyokua na kamchezo sitaki nataka, unaona vibe lake lipo je?
Thank you JF tutakuna next time 🫂
ShesRise_1 🤚
Nyuzi kama hizi zinafanya ngono iwe rahisi , tukazie mabango ya UKIMWI madogo wajue kucheza kwa step , waache kudai kondom zinawawashaNAKAZIA
Ulivyo amka, hukukuta DAWASA wameweka mradi wao kwenye mwili wako?La haulaaa! Kumbe ni ndoto bhana, nilikua naota🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa mkuu,,Nyuzi kama hizi zinafanya ngono iwe rahisi , tukazie mabango ya UKIMWI madogo wajue kucheza kwa step , waache kudai kondom zinawawasha
Hivi karibuni hutaziona kutoka kwangu bwashee mpango wako wa kuzuia na kupambana na ukimwi utakua umekamilika nadhani 🙏🙏🙏Nyuzi kama hizi zinafanya ngono iwe rahisi , tukazie mabango ya UKIMWI madogo wajue kucheza kwa step , waache kudai kondom zinawawasha
Uzi wako utasababisha mtu akaliwe kimasihara , au kuna anasoma apandishe mzuka ale au aliwe bila ndom , akikuta bango la UKIMWI atasanuka🤣🤣🤣 nimecheka kwa nguvu sana bwashee
Popote pale nitatupia bango bwashee iwe kwako au isiwe kwako ,kama serikali wanaiba tu wamesahau kulinda raia kwa kuwaonya kuhusu UKIMWI mimi nipo😅Hivi karibuni hutaziona kutoka kwangu bwashee mpango wako wa kuzuia na kupambana na ukimwi utakua umekamilika nadhani 🙏🙏🙏
heh acha basi bwashee🤣🤣Uzi wako utasababisha mtu akiliwe kimasihara
Fire 🔥 nimecheka mbavu zinauma, au kuna anasoma apandishe mzuka ale au aliwe bila ndom ,
So una watonya🤣🤣akikuta bango la UKIMWI atasanuka