Unasubiri nini kupata pesa kwenye chimbo hili

Unasubiri nini kupata pesa kwenye chimbo hili

vanlizer_fx

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
50
Reaction score
95
Wana jamvi

Najua kabisa saivi tatizo kubwa kwa vijana sio mtaji bali ni wazo zuri la biashara , biashara gani anaweza kuifanya ikampa mafanikio mazuri na akaweza kuendesha maisha yake

Kama jibu lako ni ndio basi biashara ya jongoo bahari ni biashara ambayo haiihitaji mtaji mkubwa kuanza na chimbo lake lipo China

Kuna madalali hapa Dar kila siku wanazunguka kutafuta jongoo bahari ambao wamesha andaliwa yani wameshapitia hatua zote za uandaji

Kama upo serious kazi ni kwako make nikielezea kwa undani chimbo mtasema najifanyia promo basi biashara ya jongoo bahari kama upo maeneo ya bahari au upo mbali na bahari basi unaweza kufanya uchunguzi wako wa kina

Mchongo huo luka nao[emoji184]
 
Maliasili hiyo iko na risk. Jamaa mmoja aliniambia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom