MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Haha kwa umri wake, lazima aseme hvyo, ni kizazi cha marap wenye marangi rangi kichwan na matatto mwili mzimaMwanangu anampenda Lil Pump anasema ni mkali kinoma! SMH
Walau nimekaa naye sana kipindi cha Corona akaanza kubadilisha taste,Haha kwa umri wake, lazima aseme hvyo, ni kizazi cha marap wenye marangi rangi kichwan na matatto mwili mzima
Huyu ndio P Mawenge auP the mc - i miss you
Swali langu ni kwenye kulipiaTumia vpn, inakubali
Ndiyo yeye mkuu...Huyu ndio P Mawenge au
Ni kweli kabsa mkuu,asilimia kubwa wamejaa hao kina Lil PumpWalau nimekaa naye sana kipindi cha Corona akaanza kubadilisha taste,
Yani huko BillBoard na UK TOP-40 siku hizi kuna matakataka sana!
Una create free account. Halafu ku login unatumia vpn mara moja. Uwa wenyewe wana log out kila baada ya wiki 3, unawasha vpn tena una login unaendelea kupata vituSwali langu ni kwenye kulipia