Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Humu anaskika bwa mdogo anatembea namna hii;

Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza.....

Hii sijui ni verse au chorus hata sijui, ila jamaa amekaa vizuri mno hapo ni msauti wake sijui ndo mineli imekolea pale ama vipi. Ila kitu kikali mno. Huyu jaivah ni msouth au nini??? Anajitafuta mnooo huyu jamaaa, safiiii.

Marioo na huyu jamaa wana 'bond' flani hivi migoma yao inakimbiza sana kwa burudani aloo...heko sana nyie wapambanaji.

Mziki umewaka sasa
marioo anatiririka nae;
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo, kojo, kojoo)....huu mdundo sasa na huyu bwamdogo anavojua kuyaumiza haya mapianooooo

Kila kitu buruudaaaa

Aweeeee
 
Attachments

  • Screenshot_20231217-015114.png
    Screenshot_20231217-015114.png
    128.1 KB · Views: 2
Kuna midundo kwny fleva za bongo sikuhizi. Bongopianoo

Ndomana nasema mziki umewaka
 
Attachments

  • Screenshot_20231218-221552.png
    Screenshot_20231218-221552.png
    143 KB · Views: 1
Humu anaskika bwa mdogo anatembea namna hii;

Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza.....

Hii sijui ni verse au chorus hata sijui, ila jamaa amekaa vizuri mno hapo ni msauti wake sijui ndo mineli imekolea pale ama vipi. Ila kitu kikali mno. Huyu jaivah ni msouth au nini??? Anajitafuta mnooo huyu jamaaa, safiiii.

Marioo na huyu jamaa wana 'bond' flani hivi migoma yao inakimbiza sana kwa burudani aloo...heko sana nyie wapambanaji.

Mziki umewaka sasa
marioo anatiririka nae;
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo, kojo, kojoo)....huu mdundo sasa na huyu bwamdogo anavojua kuyaumiza haya mapianooooo

Kila kitu buruudaaaa

Aweeeee
Kama nawakwaza semeni hautukwazi tajiri
Kama nawaboa semeni hautuboi tajiri
Kama nina gubu semeni hauna gubu tajiri
Kama nina baya semeni hauna baya tajiri shhhh

Leo Dj nani chapa ngoma ya zuchuu HONEY
Anapiga nani ngoja kwanza nipokee.
 
Sauti ya juu mnoo, arghhh....heavy sound
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom