Unashauriwa na Mkeo?...Utachanganyikiwa!!

Mkuu Mwanajamvi...

Nimeona mara nyingi wanaume wakikaa pamoja utawasikia...Yule si anashauriwa na mkewe?..Ndo maana yuko kama amechanganyikiwa muda wote!

Ina maana wanawake wana ushauri mbaya sana?

Ni ushauri upi tuupokee na upi tuukatae toka kwa hawa raia?

Si kweli kabisa Wanawake wana ushauri mbaya. Na sioni ubaya wowote kwa Mume/Boyfriend kupokea na kuukubali ushauri wa Mwanamke kwani Wanawake ni binadamu kama sisi na wana uwezo mkubwa sana wa kutoa ushauri mzuri katika mambo mbali mbali. Kama Mwanamke anaweza kuwa Prime Minister wa UK na pia Waziri wa Mambo ya Nje US na kushika nyadhifa nyingine za juu katika nchi mbali mbali duniani, basi sioni sababu yoyote ile ya Wanaume kuukataa ushauri wa Mwanamke kutokana na jinsia yao tu. Tuacheni fikra potofu za mwaka 47 za kuwadhalilisha Wanawake kutokana na jinsia yao tu, hawa viumbe wana uwezo wa kufanya maamuzi mazuri tu kama Wanaume na kuna ushahidi wa kutosha kuhusu hili.
 
Ila PJ kuna wanaume wengine wakiwa nje wanaongea maneno ya kuwapotosha wenzao wakirudi ndani heshima mbele kwa Fistlady wake na ushauri unafatwa kama kawaida ...
Akili kichwani katika maisha !
 
Hivi jamani naomba kuuliza,hivi Raisi wetu washauri wake wengi ni wanaume au wanawake? ukiondoa FL.Kwa sababu naona mambo ya nchi hii hayaendi sasa nahisi ana washauri vilaza.
Samahanini kama ntakuwa nimewakwaza.
 
So babu unamaanisha mwanamke hawezi kutoa ushauri Mbaya kwa mumewe?
 
Hivi jamani naomba kuuliza,hivi Raisi wetu washauri wake wengi ni wanaume au wanawake? ukiondoa FL.Kwa sababu naona mambo ya nchi hii hayaendi sasa nahisi ana washauri vilaza.
Samahanini kama ntakuwa nimewakwaza.

duuh shemeji apa nimekwazika mbona imekaa kisiasa au unamaanisha raisi wa miss utalii mheshimiwa sijui chipungahelo? lol
 
Ila PJ kuna wanaume wengine wakiwa nje wanaongea maneno ya kuwapotosha wenzao wakirudi ndani heshima mbele kwa Fistlady wake na ushauri unafatwa kama kawaida ...
Akili kichwani katika maisha !
This is true!
Mambo ya kijiweni inapasa yaishie hukohuko bana!...lakini top wa kitu inayoitwa HOME ni MAMA!
 
Jamani husband!mbn unapenda kusikiliza za kitaa?ningekushauri vibaya ungekuwa JF mpka leo?ningekushauri vby ungefanya kazi tena?(ingekuwa do me........)ningekushauri vby ungekuwa na wale marafiki zako walevi kama(kaizer,xpin,Geoff)ww ndiwe asali wa moyo ushauri wangu kwako ni manufaa ya mm(waziri wa mambo ya ndani)watoto wako?(waziri wa kazi na maendeleo ya taifa la leo)ndugu zako(majirani wa nchi jirani)marafiki zako(kamati ya maandalizi eiza kujenga au kubomoa nyumba yetu ya mapenzi)
specio tu mume wangu PAKA JIMMY(cjui Akili kichwani akiskia atajiua?)
 
hivi jamani naomba kuuliza,hivi raisi wetu washauri wake wengi ni wanaume au wanawake? Ukiondoa fl.kwa sababu naona mambo ya nchi hii hayaendi sasa nahisi ana washauri vilaza.
Samahanini kama ntakuwa nimewakwaza.

kweli charity mambo yake hayaeleweki kabisa wasijesema anashauliwa na fl wake
 
This is true!
Mambo ya kijiweni inapasa yaishie hukohuko bana!...lakini top wa kitu inayoitwa HOME ni MAMA!

ewaa, PJ apo ndo panaweza kutofautisha kati ya mwanaume KILAZA na mwanaume RIJALI .....
 
lakini nasikia mwanamke akiwa mshauri wako, bajeti kubwa ya fedha ya familia inakwenda kwenye ma'lipstic, chopstick, angel'face, lipshine, mediven na ma'chinese-sijui nini nin!:d:d
labda kama umeoa ''modo'',,,,,,,,,,,,,,,, wachaga tafsiri yake ni moto.
 
duuh shemeji apa nimekwazika mbona imekaa kisiasa au unamaanisha raisi wa miss utalii mheshimiwa sijui chipungahelo? lol
Umekwazika nini shemu? mie nataka kujua kama wenye ushauri mbaya ni wanawake au wanaume.Au hupendi kabisa sihasa?
nisamehe kwa kukukwaza.
 
Jamani husband!mbn unapenda kusikiliza za kitaa?ningekushauri vibaya ungekuwa JF mpka leo?ningekushauri vby ungefanya kazi tena?(ingekuwa do me........)ningekushauri vby ungekuwa na wale marafiki zako walevi kama(kaizer,xpin,Geoff)ww ndiwe asali wa moyo ushauri wangu kwako ni manufaa ya mm(waziri wa mambo ya ndani)watoto wako?(waziri wa kazi na maendeleo ya taifa la leo)ndugu zako(majirani wa nchi jirani)marafiki zako(kamati ya maandalizi eiza kujenga au kubomoa nyumba yetu ya mapenzi)
specio tu mume wangu PAKA JIMMY(cjui Akili kichwani akiskia atajiua?)

Mmh! Shosti na wewe!!
Basi tumeshaukosa mchango wa PJ.
Kwa hiyo hapo juu, Sizani kama PJ ataongea points tena.
 
Jamani nilishachangia lakini nimerudi tena maana kuna kitu nimekumbuka baada ya kusoma alichochangia kaizer ni kweli hao ni wanaume chipolopolo kama usemavyo kaka yangu maana kama kweli watu mmeamua kuwa kitu kimoja inakuwaje tena watu wa nje waweze kuwatawala kwenye mawazo yenu? Wao wanashindwa watakuja kuwezaje yakwenu? USHAURI NI USHAURI cha muhimu hauvunji sheria ya nchi, na sio kwenda kuiba! Tunaweza kushauri jamani!
 
Jamani husband!mbn unapenda kusikiliza za kitaa?ningekushauri vibaya ungekuwa JF mpka leo?ningekushauri vby ungefanya kazi tena?(ingekuwa do me........)ningekushauri vby ungekuwa na wale marafiki zako walevi kama(kaizer,xpin,Geoff)ww ndiwe asali wa moyo ushauri wangu kwako ni manufaa ya mm(waziri wa mambo ya ndani)watoto wako?(waziri wa kazi na maendeleo ya taifa la leo)ndugu zako(majirani wa nchi jirani)marafiki zako(kamati ya maandalizi eiza kujenga au kubomoa nyumba yetu ya mapenzi)
specio tu mume wangu PAKA JIMMY(cjui Akili kichwani akiskia atajiua?)
Pearl wewe kabila lako ni mh.......????/:confused:
 
Wow..LUCKY ME!
How good to have a person of your type:D!
Ni amani tupu...hata nikisafiri sina hofu yoyote, najua unaendelea kuwakilisha!
I luv..luv...luv..luv..luv ..luv you!
 
Mmh! Shosti na wewe!!
Basi tumeshaukosa mchango wa PJ.
Kwa hiyo hapo juu, Sizani kama PJ ataongea points tena.
Weweeeeeeeeeeeeee!
Mi niache pwent mimi...piga ua siachi!
Niache pwent nimwangushe Pearl?
Thubutuuuuuuuu!
Waambie Pearl wangu nilivyo mkali..miye sisemi:)
 
u knw ur very luck to have me by ur side ukipata mshahara tunamalizia bar,nakuacha unacheza cheza na vitoto vinavyojipendekeza kwako,n for sure I dnt mind coz unapata alot of experience n thats make uor love grow sronger,love you my sugar banana n sweeety potato

Back
Top Bottom