Unaruhusiwa Kucheka

Unaruhusiwa Kucheka

Hivi akiwafumania/warushia kati kati ya mgegego sijui itakuwaje
 
Wabongo hatujazoea hizo habari za mabomu..Utaweza umrushie mtu begi ndo kwanza akasepa nalo

Issue ni zile nguo alizovaa jamaa, automatically tu unajua kuna namna.
 
Wewe Ndallo mjinga sana, umetaka kusababisha nivunje mbavu zangu.

Ila hawa jamaa wavaa kanzu na vilemba akili zao wanazijua wenyewe!

Wazungu hawana imani nao kabisa.

Mtu anaweza kudhurika kwa hofu. Je! Atalipwa au?

Ha ha ha!
 
Back
Top Bottom