Unapotoa kauli hizi huku ukijiita kiongozi basi ujitathimini

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,932
2,832
Unaposena Kila kitu kitapanda bei...
Muuzaji unamjengea mtazamo wa kupandisha bidhaa bei kiholela....hii inamuumiza mnunuzi au mfuata huduma!

Unaposema hata Marekani umeme hukatikakatika....
Unamuandaa mtoa huduma ya umeme (Tanesco) asione haja ya kufanya Kila liwezekanalo kuepuka umeme usikatike maana yake unaruhusu uzembe na kutokujali, na kutowajibika kwa Tanesco kwa wateja wao (watz)!

Niishie hapa kwa Sasa!
 
Tulie na aliemteua , huyo ndo alifanya makosa makubwa sana sana. Unakuaje na msaidizi legelege kama huyu.
 
Unaposena Kila kitu kitapanda bei...
Muuzaji unamjengea mtazamo wa kupandisha bidhaa bei kiholela....hii inamuumiza mnunuzi au mfuata huduma!

Unaposema hata Marekani umeme hukatikakatika....
Unamuandaa mtoa huduma ya umeme (Tanesco) asione haja ya kufanya Kila liwezekanalo kuepuka umeme usikatike maana yake unaruhusu uzembe na kutokujali, na kutowajibika kwa Tanesco kwa wateja wao (watz)!

Niishie hapa kwa Sasa!
Samia Suluhu Hassan hajui mambo ya msingi kabisa ya uongozi.

Ndiyo maana anaongoza kama muimba taarabu za mipasho.

Na hili si tatizo lake binafsi, ni tatizo la jamii nzima ya Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom