Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,714
- 45,099
Wale team wapangaji karibuni kwa mjadala. Hivi unapotafuta chumba cha kupanga ni mambo yapi ya msingi huwa unayazingatia?
Hapo namba 5 nakuunga mkono1. Choo
2. Idadi ya wapangaji wengine
3. Kunafikika kirahisi
4. Ubora wa nyumba husika
5. Muhisika nisiishi naye nyumba moja
6. Huduma zingine kama maji etc.
Dah we jamaa...Umbali kutoka nyumba na kanisa la walokole au msikiti. Maana napendaga utulivu nikiwa home, iwe mchana au usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
No 5 balaaa1: Naangalia kwanza kama kina mlango na madirisha.
2: Majirani wanatakiwa wawe wa kike na umri kuanzia 20-29.
3: Wasiwepo watoto wadogo wengi, wanyama wa kufungwa kama bata, kuku, paka na wengineo kama hao.
4: Mwenye nyumba awe na nidhamu pale ninapoongea naye.
5: Kiwe karibu na hospitali au kituo cha polisi.
Aiseeee1: Naangalia kwanza kama kina mlango na madirisha.
2: Majirani wanatakiwa wawe wa kike na umri kuanzia 20-29.
3: Wasiwepo watoto wadogo wengi, wanyama wa kufungwa kama bata, kuku, paka na wengineo kama hao.
4: Mwenye nyumba awe na nidhamu pale ninapoongea naye.
5: Kiwe karibu na hospitali au kituo cha polisi.
Wa kiume au?Napenda kuishi nyumba moja na mganga wa kienyeji.
Mara nyingi kuna wale waliobaki na wanahitaji pa kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpangaji ndiyo hutakiwa awe na nidhamu.1: Naangalia kwanza kama kina mlango na madirisha.
2: Majirani wanatakiwa wawe wa kike na umri kuanzia 20-29.
3: Wasiwepo watoto wadogo wengi, wanyama wa kufungwa kama bata, kuku, paka na wengineo kama hao.
4: Mwenye nyumba awe na nidhamu pale ninapoongea naye.
5: Kiwe karibu na hospitali au kituo cha polisi.
7. Nyumba iliyo kidogo nje ya mji bora zaidi (Je kwanini iwe nje ya mji?- hakuna msongamano, hewa safi, kuna utulivu)1.Eneo husika
- Hapa nazungumzia mtaa/Street .Kuna mitaa ya uswahilini hata kama kuna Nyumba/Chumba cha kueleweka siwezi panga.
2.Geographia ya eneo husika.
-Kuna sehemu unaweza panga ukajikuta mvua kila ikinyesha basi nyumba inabadilika kuwa boti
3.Aina ya wapangaji/Mwenye nyumba.
4.Eneo Lenye uwazi,Mfano sehemu ya parking kama una Usafiri wako.
-Kuna mitaa unaweza uka na gari lakini ukakosa sehemu ya kupark.
5.Ukubwa na Chumba na Madirisha.
6.Lazima Viwe self Contained.
- Sipendi kupelekeshwa na Kupangiwa zamu ya kufanya usafi chooni na Bafuni.
Mf "Mr Lawhealer leo zamu yako chooni
...Ukicheki time ni 6:00Am. nk.
.....Subiri mawazo ya Wengine.Stay tuned.