selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 450
- 613
Wakuu kwema?
Sitaki kuwachosha naenda straight kwenye point
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nkipata ndoto ambayo imekuwa ikijirudia mara kwa mara ikinihusisha na mambo ya darasani hasa hasa huwa naota npo kwenye chumba cha mtihani na katika chumba hicho mara nyingi huwa nakumbana na matatizo mengi kama kuchelewa kwenye mtihani, kuchaniwa karatasi yangu ya mtihani, kuzuiwa nje nisiingie kwenye chumba cha mtihani ilihali mtihani huo unanihusu n.k yaani in short always nakuwa na matatizo niwapo kwenye chumba cha mtihani.
Naomba mnisaidie hii ina maana gani?