Unapoipakua simu ya mwenzako unataka nini

Hata mm najiuliza sijui huwa wanatafuta nini wakati sehemu za siri kila mtu ana zake na anazunguka nazo atakavyo yeye.
 
Mimi kwny simu yangu huwa naficha picha na video mbaya tu ili mwanangu asione zaidi ya hapo sina kingine cha kuficha
 
Mkuu ukiingia Play store,kuna App nyingi tu,ila unaweza ukaitumia Vault naona ni nzuri,maana ina premium features, unaweza ukaihide kwenye app zako kwenye simu isionekane, we unakua unaingia kwa password!

Simu korofi,msg,picha,unazitupia huko,
Hapo sawa mkuu
 
Back
Top Bottom