Unapoipakua simu ya mwenzako unataka nini

Unapoipakua simu ya mwenzako unataka nini

Kuna siku alipakuaga sim yangu, alipo maliza tu kwanza nikamuona anaelekea chooni, kumbe alishikwa na tumbo la kuhara baada ya kuyaona ambayo hakuyatarajia....
Kilicho fuata baada ya hapo, alinivizia siku nimekula K-Vaa kubwa chakari..... Alinipea kichapo kwa kutumia mwiko yani Dahhh...
Mdomo wangu umebaki wazi
 
Aliiganda simu yangu nikampa, kuna jamaa yangu huwa tunachati ujinga sana sometimes.

Akatuma sms kwangu akijua simu ninayo mimi, demu akajichanganya akaekti yeye ndiyo mimi.

Jamaa akasema nanukuu sms yake " mwanangu we ms......n...g...e kweli wewe Recho ume simalizii japo namnukuu akamalizia na sasa tena upo na Sal . ... Ma????!

Mpaka leo hatamani simu yangu tena

Simu yangu ni ya kwangu na yake yake .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom