Unapoipakua simu ya mwenzako unataka nini

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
???????
tbtt.jpg
 
Kuna siku alipakuaga sim yangu, alipo maliza tu kwanza nikamuona anaelekea chooni, kumbe alishikwa na tumbo la kuhara baada ya kuyaona ambayo hakuyatarajia....
Kilicho fuata baada ya hapo, alinivizia siku nimekula K-Vaa kubwa chakari..... Alinipea kichapo kwa kutumia mwiko yani Dahhh...
 
Si unaona mkuu ndicho wanachokitafuta
Hao sasa na wewe ungemgeuzia kibao
Urudishe mashamburizi si lingekuwa balaa kubwa
 
Back
Top Bottom