The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Vumilia banaa usichokeHa ha ha ha ha, umenichekesha suzy!!!!
Wanawake tulivyokuwa na..................
Uwiiiiiiiiii tuwage na uvumilivu tu kwa kweli!!!
Vumilia banaa usichokeHa ha ha ha ha, umenichekesha suzy!!!!
Wanawake tulivyokuwa na..................
Uwiiiiiiiiii tuwage na uvumilivu tu kwa kweli!!!
According to facebook status updates, break ups happen mostly around spring breaks and the months leading up to Christmas.
Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa haidumu muda mrefu.
Katika hicho kipindi mpenzi wako hata afanye jambo zuri huwa unahisi anakuboa yaani humfurahii na ni kipindi hicho ambacho uhusiano ni rahisi kuvunjika iwapo mmoja hatakuwa imara kuusimamia na mara nyingi kipindi hicho mpango wa kando hutafutwa.
Nafikiri wadau wote humu tushawahi kuwa na wapenzi/tunao/tumeoa au tumeolewa.
Naombeni mawazo yenu hapo.
Je ulipohisi kumchoka mpenzi wako ulifanya?
Unategemea lini itakutokea???ok mi hali hiyo haijanitokea bado....
Ndivyo inavyotakiwaMi humwambia,kuliko kumnunia mtu bila sababu....mi husema tu kwa nia nzuri i need some space at least for a week.....na wanaume i guess ni waelewa ukiwa muwazi,husema tu i understand and can i be of help? unamwambia unafikiri nini kitakurudisha katika mood....na atakuwa more than willing kukusaidia urudie hali yako......inatokea kwa kila mmoja wetu,haina haja ya kuwa siri!!!
Unategemea lini itakutokea???
Ahaaa ahaaa l.o.lmpwa subiri ninkamate kitu kwanza...
Husninyo mimi hii khali naiona kabisa hv kumbe huu upepo hua unapita dah kweli inachanganya kweli ucpokua makini kweli mahucano ndo yanaishia hapo.kweli maisha ya mahusiano ni safari ndefu isiyo na mwisho.
Hapa mmoja wa wanandoa anaweza akasafiri kwa kipindi hata cha wiki mbili au mwezi mmoja ili hamu ya kumwona mwenzi wake ijengeke upya.vipi kwa wale wanandoa.
Unapendekeza wapeane likizo?
Hapo kuna kitu umekiongea nadhani watu hawajakiona au hawajanyambua hiyo spring season.Naona kama kuna ukweli kidogo
what might be the reason?