Unapendelea chakula gani?

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,226
26,639
Mambo wanajamvi,

Kila mtu kuna chakula cha aina fulani huwa anakipendelea sana ,kwa mfano mimi chakula nikipendacho ni ndizi samaki, halafu mpishi awe farkhina ntainjoije sasa maana .....
.
Je, wewe wapenda chakula gani?
 
weka picha

D%2520dagga%2520n%2520ugali,%2520samaki%2520n%2520dizi.jpg
 
I am foodie...I lv everything halaal....;-) .....farkhina anatudondosha mate kila leo...
 
Mambo wanajamvi.......

Kila mtu kuna chakula cha aina fulani huwa anakipendelea saaaaaaana
kwa mfano mimi chakula nikipendacho ni Ndizi Samaki,
halafu mpishi awe farkhina ntainjoije sasa maana ..........
je wewe wapenda chakula gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hahahaha pia napenda ndizi nyama,iranian rice na vyengine

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Wali ya nazi kwa beans iko poa sana! Inategemeana,kila siku mimi inakuwa na hamu ya different meals,ila chapati is constant,kama sikosei basi that's my favourite food! Chapati...!
 
Back
Top Bottom