Huyo Robot yuko wapi?
Huo wimbo wa kwanza wameiga bits za zamani za wimbo wa Kiko Kids ya Tabora. Yaani nilivyosikiliza sikuamini kuwa unaweza kufanana namna hiyo. Huu niliuweka pamoja na ile miziki ya Kanda Bongo Man hapa JF. Wimbo huo wanaimba "Mauwa, ehh mauwa, mapenzi mauwa......." Ila jamaa wamejitahidi katika hizi Soukous Taarab.
INVISIBLE fanya fanya basi mambo huko jikoni, wengine tukikaa sana juani "Pembe zinayeyuka...." Na hapo ndipo tutajulikana si wapenzi ......