Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,775
Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa.

Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi ya Tanga, basi hamna kitu
 
Ni aina ya mlenda,

Huwa ni tamu sana.

Mlenda wa unga unachanganya na jamii ya mikunde baada ya kuchemsha mikunde Na kuiva ndipo unakoroga pamoja.

Wewe utakuwa ni Mchaga?

Maana mlenda unapikwa kwenye makabila mengi bongo isipokuwa uchagani.

Wangekuchemshia hata vimchicha au Ngogwe kwa bamia Mara moja.
 
Mlenda nipigwe kwanza nusu kaputi ndo niule.....siwezi
 
mimi hata bamia,nyanya chungu na bilinganya labda lirojeke nisilibaini ila habari nalila nikifikiri ni nyama kumbe ni bilinganya aisee hua nazipembua natupia kuku
Nilijua niko peke yangu nisiyependa hizo vitu
 
mimi hata bamia,nyanya chungu na bilinganya labda lirojeke nisilibaini ila habari nalila nikifikiri ni nyama kumbe ni bilinganya aisee hua nazipembua natupia kuku
Siziwezi pia...Kwa kweli...
Mimi mboga za majani ndo nimechora mpaka wangu...
Mboga yoyote ya majani nakula....najua popote zinapatika Sasa yanini tulishane milenda na bamia
 
Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa.

Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi ya Tanga, basi hamna kitu
Mwenzio nilichanganyiwa mpka na maembe mabichi tanga kiboko yalinishinda yale mapishi
 
Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa.

Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi ya Tanga, basi hamna kitu
Ukiizoea utaifata barabara ya 19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom