Unapenda kulala usingizi mnono???

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Unasumbuliwa na mbu kiasi kwamba huwezi kulala.? Basi muue mmoja, wengine wote wataenda msibani kisha utalala kwa raha.
 
sasa ukimuua msiba si utakuwa hapo hapo kwako, c ndo watajazana balaa
 
that y nikiingia JF siachi kuingia na humu kwenyee jukwaa la Jokes.... huwa cku yangu inaenda vzuri safi xana vjana wangu
 
Na maziko yatakuwa kitandani kwako....
 
sasa ukimuua msiba si utakuwa hapo hapo kwako, c ndo watajazana balaa


hapana mm siwezi kuwa kande/na wala hawawezi kujazana coz ntamuua natupia
uvungu wa kitanda au napeleka sebuleni msiba utakuwa huko!!
 
hapana mm siwezi kuwa kande/na wala hawawezi kujazana coz ntamuua natupia
uvungu wa kitanda au napeleka sebuleni msiba utakuwa huko!!
ah wapi! Msiba lazima usafirishwe mpaka kwao (
ambako ni chumbani)
japokuwa marehemua alikutwa poli la uvunguni/sebuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…