You are procedures are mathematically consistent and completely correct indicating that you are a good mathematician. Only that they don't provide a mathematical solution of the problem at hand!
Kwani somo la uzalendo litaanza lini 🚶🚶🚶Kama uko advance huwezi hilo swali umeisha joking
Ila hapo ukiweza kuintegrate e* utakuwa umemaliza hilo swali
Sina uhakika na nilivyosolve ila uelekeo ndio huo huo maana ni kitambo sanaView attachment 1711681
aseeeee, nina B ya advanced mathematics ila haijanisaidia kitu hadi muda huuAdvance nilipata B ila hapo hakuna ninachokumbuka hata kimoja..
Wakati enz hizo pure 1 na 2 zote zilikuwa kichwani
I see kama mambo yenyewe hayo,bora niishie tu la saba,nijue kusoma na kuandika na tuitions za English kitaa,zile miaka ya 2002 kurudi nyumaKama uko advance huwezi hilo swali umeisha joking
Ila hapo ukiweza kuintegrate e* utakuwa umemaliza hilo swali
Sina uhakika na nilivyosolve ila uelekeo ndio huo huo maana ni kitambo sanaView attachment 1711681
Sasa hili swali lako si ndiyo application ya swali nililotoa hapo juu? Huwezi ukawa na uwezo wa ku-solve hili uliloweka wewe hapa, bila kujua ku-solve hilo la mwanzo nililoweka mimi. Hata hivyo umeweka idea nzuri sanaMkuu Makanyaga
Mimi sijaona umuhimu hilo swali lako la calculus kwenye pratical application,
Hebu wakali waje kutupa jibu kwenye practical question kama hili chini hapa
View attachment 1716815