Unapata zawadi nzuri ukipata jibu sahihi la hesabu hii ya calculus

Kama uko advance huwezi hilo swali umeisha joking

Ila hapo ukiweza kuintegrate e* utakuwa umemaliza hilo swali
Sina uhakika na nilivyosolve ila uelekeo ndio huo huo maana ni kitambo sanaView attachment 1711681
I see kama mambo yenyewe hayo,bora niishie tu la saba,nijue kusoma na kuandika na tuitions za English kitaa,zile miaka ya 2002 kurudi nyuma
 
Niliformat kichwa to default setting baada tu ya awamu ya 5 kuanza et tunaambiwa tujiajiri kua vibarua wa fundi ujenzi kwa zege zile zote utapata wapi muda wa kukumbuka hizo integras Mara differential eqns sijui exponents
Sikumbuki kwakweli
 
mmh bora nimesoma Arts japo mimi art nyie munaoelewa hayo madude muna vichwa aisee
 
Mkuu Makanyaga
Mimi sijaona umuhimu hilo swali lako la calculus kwenye pratical application,
Hebu wakali waje kutupa jibu kwenye practical question kama hili chini hapa


1614815189067.png
 
Nimejaribu kulifanya lakini ubongo unanilitea hii meseji "Too many open files " kisha ubongo una-restart
 
Mkuu Makanyaga
Mimi sijaona umuhimu hilo swali lako la calculus kwenye pratical application,
Hebu wakali waje kutupa jibu kwenye practical question kama hili chini hapa


View attachment 1716815
Sasa hili swali lako si ndiyo application ya swali nililotoa hapo juu? Huwezi ukawa na uwezo wa ku-solve hili uliloweka wewe hapa, bila kujua ku-solve hilo la mwanzo nililoweka mimi. Hata hivyo umeweka idea nzuri sana
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom