Unaona nini?

Unaona nini?

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
brand-bottoms-up-small-17786.jpg

Mi naona chupa 2 tu za heineken zimegeuzwa bottoms up.​
 
hahaDah classic optical illusion.cant mention what i see.
 
brand-bottoms-up-small-17786.jpg

Mi naona chupa 2 tu za heineken zimegeuzwa bottoms up.​

naona ufito wa mlozi, Mubarak anaitosa Masri, kakakuöna anachagua mchele hivyo hakutakuwa na njaa, JK anaitafuta shuka tayari kumekucha, na wewe umesimama kama umekaa, teh teh!
 
inategemeana kwa mda huo unawaza nini wakati unaangalia.

kwan we uliwaza nini ukaamua kupost hii mambo
 
hapo sasa ni kweli inaendana na kichwa kinawaza nini kwa muda huo hata katabia pia!
inategemeana kwa mda huo unawaza nini wakati unaangalia.

kwan we uliwaza nini ukaamua kupost hii mambo
 
naona vitu vitatu, kama vile mtu anata buttocks za kijani, pia naona chupa za heineken upside down, tatu naona mubarak na misri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom