Unanunuaje Adobe Photoshop ukiwa Tanzania?

Kelela

Senior Member
Nov 7, 2020
186
269
Siku chache zilizopita nilitaka kununua Program ya Adobe Photoshop CC 2020 (Subscription) kutoka kwenye tovuti ya adobe, lakini nilibonyeza button ya buy iliniletea ujumbe kwamba siwezi kununua kutokana na nipo Tanzania.

Je kuna mwenye uzoefu katika kununua Adobe Photoshop CC 2020 anijulishe namna ya kufanikisha hilo.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana hujajua tu, nenda kwenye ofisi wanakotoa huduma za graphics utaipata.

Au kama upo Kinondoni au karibu na Kinondoni PM me
 
Kama haikubali ukiwa Tz jaribu vpn,

Sema zipo njia za magumashi pia, unaweza nunua Genuine key Around $30 kwa mwaka.
 
Siku chache zilizopita nilitaka kununua Program ya Adobe Photoshop CC 2020 (Subscription) kutoka kwenye tovuti ya adobe, lakini nilibonyeza button ya buy iliniletea ujumbe kwamba siwezi kununua kutokana na nipo Tanzania.

Je kuna mwenye uzoefu katika kununua Adobe Photoshop CC 2020 anijulishe namna ya kufanikisha hilo.
 
Siku chache zilizopita nilitaka kununua Program ya Adobe Photoshop CC 2020 (Subscription) kutoka kwenye tovuti ya adobe, lakini nilibonyeza button ya buy iliniletea ujumbe kwamba siwezi kununua kutokana na nipo Tanzania.

Je kuna mwenye uzoefu katika kununua Adobe Photoshop CC 2020 anijulishe namna ya kufanikisha hilo.
Unawezaa ukawasiliana na mimi nikuwezeshe jinsi ya kupata crack ya hio software hautopata shida yoyote ile..na inakuwa safe side na unatumia life time
 
Back
Top Bottom