Unanichagulia UA gani Rafiki

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
"Ua' la' pinki 'kwa" urafiki" wa" kawaida", Ua "jekundu "kwa" mahusiano" ya" kimapenzi," Ua "jeupe" kwa" amani" na" "upendo," Ua" la" njano" kwa" "kusaidiana "kimaisha," Ua" la" blue" ni" "kupongezana" na "kufurahi". Je "unadhani" ww" kutoka" moyoni" "utanipa" ua" la" rangi "gani?
CC
Smile
Mamndenyi
FaizaFoxy
Mwali
King'asti
wana CC
 
Last edited by a moderator:
Hivi yake maua mibhange yana rangi gani Smile?
 
Last edited by a moderator:
Kusaka tongee,bado nipo Kigoma,wanakuulizia lini mtaenda na CHama,jumamosi narudi mjini

Daah pole. chama kaingia chaka akija tu tutakuja. Naona umekula nait za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…